Kuhusu Kessy Tech Pro

🏢

Kampuni ya Tanzania

Tuna makao yetu Tanzania na tunatoa huduma kwa watanzania.

🎯

Lengo Letu

Kuwezesha biashara na watu kupata teknolojia ya kisasa kwa urahisi.

💎

Ubora wa Juu

Huduma zetu zina ubora wa kimataifa kwa bei inayofaa.

Tunachofanya

Kessy Tech Pro ni kampuni ya Tanzania inayotoa huduma za teknolojia ya kisasa. Tunajali wateja wetu na tunafanya kila linalowezekana kukupa huduma bora, haraka, na salama.

Tunatoa huduma za utalii (safari), duka la bidhaa za teknolojia, bando za mtandao, na matengenezo ya kompyuta. Kila huduma imejengwa kwa kuzingatia mahitaji ya wateja wetu wa Tanzania.

Piga Simu WhatsApp