Climbing to the peak
⏱ 6
Sisi Kessy Advantures tunatoa huduma bora sana ya watalii kupanda juu ya mlima kilimanjaro, kisha badaye hupata huduma bora kama za malazi, pamoja na cheti baada tu ya kushuka
✅ Kinachojumuishwa
- Ulinzi
- Cheti
- sehemu bora ya kulala
- tents
❌ Kisichojumuishwa
- chakula